Wadau wakaribishwa kuweza katika Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali na Mrutu Agro-Solutions Company Limited

Naitwa Philipo Mrutu, Mkurugenzi Mtendaji wa Mrutu Agro-Solutions Company Limited <www.mrutuagrosolutions.co.tz>, P.o.box 16, Morogoro. Ofisi zetu zipo Jengo la Ushirika Station Road Street  Morogoro Mjini, MOFACU Building Plot Na 20 Zone II.
Tunajishughulisha na kutoa suluhisho; huduma na bidhaa mbalimbali za Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali. 

Karibuni sana wadau Tuwekeze pamoja katika Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali Kwa Maendeleo Endelevu.
*Je, ni huduma au Bidhaa Gani unahitaji kati ya hizi👇?*

Subscribe to https://wa.me/c/255753442903