Naitwa Philipo Mrutu, Mkurugenzi Mtendaji wa Mrutu Agro-Solutions Company Limited <www.mrutuagrosolutions.co.tz>, P.o.box 16, Morogoro. Ofisi zetu zipo Jengo la Ushirika Station Road Street  Morogoro Mjini, MOFACU Building Plot Na 20 Zone II.
Tunajishughulisha na kutoa suluhisho; huduma na bidhaa mbalimbali za Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali. 

Karibuni sana wadau Tuwekeze pamoja katika Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali Kwa Maendeleo Endelevu.
*Je, ni huduma au Bidhaa Gani unahitaji kati ya hizi👇?*

✍️Kutembelewa na ushauri mashambani  kupitia  programu ya ' __Shamba Kwa Shamba, pori Kwa pori, mradi Kwa mradi__ ' ( _farm visiting, farm planning, farm layout, farm design, ect_ )
✍️Kupimiwa udongo kwenye shamba lako ( _soil testing &analysis_ )
✍️Ujenzi wa mifumo ya umwagiliaji shambani mwako ( _installation of Irrigation system ie. Sprinklers, drip irrigation system ect_ )
✍️Ujenzi wa vitalu nyumba ( _installation of greenhouse and solar dryers_ )
✍️Ujenzi wa mabanda ya mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, kondoo, nguruwe, n.k.( _Construction activities_ )
✍️Upatikanaji wa Miche bora ya matunda, miti, kivuli, mbao, maua, mbegu ya Majani ya mifugo kama vile Neppier, Molato, n.k ( _Seedlings production & Supply_ )
✍️ Uzalishaji na usambazaji  wa mbegu aina zote mfano za Mbogamboga, nafaka, n.k
✍️Huduma ya kupandiwa miche shambani, _planting, prunning,_ n.k.
✍️Kuandikiwa mpango wa biashara (andiko la mradi ili kupata mkopo kwenye taasisi za kifedha au kwa matumizi mengine kama ufadhili au kupata wadau / wabia wa Biashara na Uwekezaji)
✍️Mafunzo ya kujiandaa kustaafu (Kwa walio ajiriwa namna ya kujiandaa kustaafu na tunawapa huduma endelevu)
✍️Mafunzo ya kilimo biashara na ujasiriamali kwa vikundi, taasisi, vijana, wanawake, wanaume, n.k.
✍️Kuanzisha mashamba darasa kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo n.k
✍️Huduma ya usimamizi wa miradi ya kilimo, Ufugaji n.k (Upatikanaji wa vijana wa SHAMBA au Usimamizi Kimkataba)
✍️Huduma ya Ujenzi wa mabwawa ya samaki, na huduma zingine zote kama vifaranga wa samaki, chakula, ushauri, masoko n.k.
✍️Kufanya Kilimo cha Mkataba
✍️Upatikanaji wa mashamba n.k
✍️Huduma zingine zinazo endana na kilimo biashara, Ufugaji, Uvuvi na Ujasiriamali kama vile uchimbaji wa visima virefu n.k.
✍️ Upatikanaji wa mbegu Bora za Ufugaji wa Ng'ombe, Nguruwe, Kuku, Kondoo, Bata, Kanga n.k
✍️ Huduma ya masoko ya bidhaa na mazao yatokanayo na Kilimo Mazao, Mifugo, Uvuvi na Misitu 
✍️Huduma ya kupima shamba na kupata hati miliki
✍️ Huduma saidizi za Kilimo Biashara kutokana na mahitaji ya mteja.
✍️Usambazaji wa Mitambo mbalimbali, Mashine na Pembejeo zote za Kilimo na Mifugo ikiwemo Trekta, Planter, mbegu, viuatilifu na mazao /bidhaa za kilimo na Mifugo, n.k
 *_"Suluhisho makini kwa Uwekezaji Katika  Kilimo Biashara, Ufugaji bora, Uvuvi na Ujasiriamali kwa Maendeleo Endelevu"_* 

*Mrutu Agro-Solutions Co. Ltd*,
Simu: *0753442903📞*
Email: *mrutu.agrosolutions @gmail.com*

Angalia Catalog hapa👇👇👇
https://wa.me/c/255753442903;
Website: www.mrutuagrosolutions.co.tz